Na WAF, Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameipa Bodi ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) muda wa miaka mitatu kuhakikisha hakuna Mtanzania anayekwenda nje ya nchi kutibiwa saratani.
"Tanzania chini ya Serikali ya awamu ya Sita ya Mhe. Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa na sasa ni miongoni mwa nchi chache barani Afrika zenye huduma za kisasa za matibabu ya saratani hivyo lazima tuende na kasi ya Mhe. Rais amesema Mhe. Mchengerwa.
Kabla ya uzinduzi huo Waziri Mchengerwa, alikagua miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na taasisi hiyo ikiwepo ufungaji wa mashine tatu mpya za matibabu ya saratani aina ya LINAC na Cobalt, upatikanaji wa mashine za kisasa za uchunguzi na matibabu ikiwemo PET CT, pamoja na uanzishaji wa kinu cha kuzalisha dawa za nyuklia (Cyclo


No comments:
Post a Comment