JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Siku ya Ushindi na Meridianbet Imefika

Share This

 


JE unajua kuwa siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri jamvi lako na Meridianbet?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti leo.

EPL itaendelea kwa mechi moja ambapo West Ham United atakipiga dhidi ya Nottingham Forest ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee, huku mechi ya mwihso kukutana Wagonga Nyundo wa London waliondoka na ushindi. Odds kubwa zipo mechi hii. Bashiri hapa.

Kule Italia, SERIE A pia kuna mechi za pesa ambapo Pisa atakipiga dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na mwenendo mzuri kabisa msimu huu. Mwenyeji yeye mpaka sasa anashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Nafasi ya kushinda anayo mgeni pale Meridianbet. Jisajilihapa.

Tusua pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

AS Roma naye atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya US Lecce ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 16 huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 5. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 16 hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mgeni aliondoka na ushindi mnono. Bashiri sasa.

Kwa upande wa Bibi Kizee cha Turin, Juventus atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Sassuolo ambao wapo nafasi ya 4, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii leo hivyo ingia na ubashiri sasa.

Michuano ya AFCON barani Afrika hatua ya 16 bora inaendelea kwa mechi mbili ambapo Algeria atakipiga dhidi ya DR Congo ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa kwenye mechi ya kirafiki 2019 na wlaitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi pale Meridianbet?. Tandika jamvi hapa.

Mtanange mwingine ni huu wa Ivory Coast vs Burkina Faso ambapo timu zote zina nafasi ya kuondoka na ushindi na kusonga mbele kwenye michuano hii. Mechi hii inakupa nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana pale Meridianbet hivyo changamkia fursa hii na uondoke na mshiko leo leo. Tengeneza jamvi hapa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad