.png)
LEO hii una nafasi ya kumiliki simu ya ndoto zako na Meridianbet ambapo kwa kubashiri mechi za mpira wa miguu ni rahisi sana kuchukua Samsung A26 yako. Unangoja nini kubashiri sasa?
Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri mechi za Ligi. Kupitia ofa yake kabambe, sasa unaweza kuweka bashiri kuanzia shilingi 5,000 tu na kuingia moja kwa moja kwenye droo ya kujishindia simu mpya na ya kisasa kabisa Samsung A26.
Ni promosheni iliyojaa uzito, msisimko na nafasi kubwa kwa kila mchezaji, bila kujali uzoefu wake wa kubashiri.
Samsung A26 ni zawadi inayoongeza thamani halisi kwa kampeni hii. Ikiwa na kioo kinachovutia, kamera za kisasa, uwezo mkubwa wa betri na kasi ya utendaji, simu hii inabadilisha namna unavyoburudika na kufuatilia matukio ya soka. Meridianbet imeamua kuleta kitu tofauti zawadi inayogusa maisha ya mchezaji, sio tu dau analoweka.
Ukiachana na promosheni hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Zaidi ya kutoa zawadi, kampeni hii inalenga kuongeza hamasa kwa mashabiki kufurahia mechi za Ligi wakiwa na matumaini makubwa. Kila ubashiri unaowekwa si tu unaleta msisimko wa kutafuta ushindi wa dau, bali pia msisimko wa kusubiri droo ya kujua kama wewe ndio mteule wa kupata simu mpya. Huku mashindano yakiendelea kila wiki, kila mchezaji anapata nafasi nyingi kadri anavyobashiri mara kwa mara.
Washindi wa promosheni hii watatangazwa kila Ijumaa ambapo ndio siku ambayo simu hutolewa hivyo usikae mbali na fursa hii kwani inakupa nafasi ya wewe kumiliki simu kali ambayo itakufanya uweze kuperuzi.
Kumbuka kuwa unapoingia kwenye mashindano haya ya kuwania Samsung A26, hutakiwi Kuturbo Mkeka wako au CASH OUT kwa namna nyingine haitahusika kwani inatakiwa usubiri jamvi lako limalizike.
Na kufanya hivyo kutakufanya ujiondoe kwenye mashindano kwani tiketi yako itahesabika kama batili. Hivyo subiri hadi mechi zote zikamilike ndipo uweze kuingia kwenye wachezaji ambao sio batili.


No comments:
Post a Comment