JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

Share This

 


JE unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?. Tandika jamvi lako sasa na unanze safari yako ya kufanikiwa kimaisha kwani kwa dau dogo tuu unaibuka Milionea.

Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, EPL kuna mechi za kubeti ambapo Aston Villa vs Nottingham Forest ni mechi ambayo itakupa maokoto kibao. Vijana wa Unai wanahitaji ushindi huu kujiweka kwenye nafasi ya kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao. Odds kubwa ipo kwenye mechi hii. Bashiri hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Brighton vs Burnley ambao wampenda daraja msimu huu wakiwa nafasi ya 19 ambayo ni ya pili kutoka mwisho. Mara ya mwisho wawili hawa kukutana, mechi zote mbili walitoa sare. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. Suka jamvi hapa.

Arsenal wao watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya AFC Bournemouth ambao hawapewi nafasi ya ushindi kwenye mchezo wa leo. Ikumbukwe kuwa vijana wa Arteta wanahitaji ushindi huu kwa namna yoyote ile ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda ubingwa ligi kuu msimu huu. Je nani unampa nafasi ya kushinda leo?. Jisajili hapa.

Tajirika kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA pia kule Hispania kuna mechi za pesa ambapo Osasuna atamenyana dhidi ya Athletic Bilbao ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 8 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 12. Meridianbet inakuambia kuwa nafasi ya kuondoka na ushindi ipo hapa. Unangoja nini sasa?. Tandika jamvi.

Pia Villarreal ambao wamekuwa na msimu mzuri wao watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Elche ambapo mara ya mwisho walipokutana kwenye ligi, mwenyeji aliondoka na ushindi. Hivyo leo hii ni siku ya Nyambizi wa Njano kulipa kisasi kwa ODDS za kibabe na Meridianbet. Bashiri hapa leo.

Espanyol Barcelona atakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya FC Barcelona ambao wanataka kutetea taji lao na msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 13 huku nafasi ya kushinda mechi hii akipewa Hans Flick na vijana wake. Beti hapa.

Unaweza kutengeneza pesa mechi za SERIE A kule Italia, ambapo Como 1907 atamenyana dhidi ya Udinese Calcio ambao wanashika nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni 5. Je nani unampa nafasi ya ushindi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.

Naye Juventus atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya US Lecce ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Bibi Kizee yupo kwenye mbio za ubingwa msimu huu hivyo kila mechi ni kama fainali kwake. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Bashiri hapa.

Na mechi kubwa Italia ni hii ya Atalanta vs AS Roma ambao nao msimu huu wameanza vyema kabisa. Ikumbukwe kuwa msimu uliopita kwenye mechi mbili za ligi walizokutana Roma walipoteza mechi zote mbili. Je mwenyeji kuendeleza ubabe mbele ya vijana wa Gasperini?. Tengeneza jamvi hapa.

Ligi kuu ya Ufaransa inatarajiwa kuendelea kibabe ambapo AS Monaco atakipiga dhidi ya Lyon ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. KIla timu inahitaji ushindi mkubwa leo iweze kusonga mbele kwenye nafasi inayofuata. Mechi hii pale Meridianbet imepewa machaguo zaidi ya 1000. Beti hapa.

Vilevile kwa upande wa Nice yeye atamenyana dhidi ya Strasbourg ambapo mechi ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare ya mabao mawili mawili. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Wakali wa ubashiri, Meridianbet wanakwambia kuwa hii ni nafasi ya wewe kuondoka na mshindo. Tandika jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad