JE unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwako kutimiza ndoto zako za kuwa Milionea?. Mechi kibao leo hii zitaendelea na nafasi ya wewe ya kuondoka mshindi ni kubwa mno. Suka jamvi lako la ushindi hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani kama kawaida kitawaka yaani mechi za pesa kabisa VFB Stuttgart atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Leo hii ni nafasi ya mwenyeji kutaka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Mechi hii ina ODDS KUBWA. Bashiri hapa.
Wakati kwa upande wa Borussia Dortmund yeye atakuwa mwenyeji wa Werder Bremen ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ijiweke kwenye nafasi nzuri. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Huku Leverkusen watakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya Hamburger SV ambao wamependa daraja msimu huu wakiwa nafasi ya 13 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 13. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na ushindi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Tajirika kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mainz 05 vs FC Heidenheim ambapo mechi hii imepewa ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili kila mtu alishinda mechi moja akiwa kwa mwenzake. Hivyo leo hii kila mtu anataka ushindi huu. Jisajili hapa.
Kule Uingereza kutakuwa na mechi kali kabisa ya Nusu Fainali ya FA kati ya Newcastle United vs Manchester City ya Pep Guardiola ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa City kuondoka na ushindi. Hii ni mechi ambayo kila timu inataka ushindi mnono kabisa. ODDS KUBWA zipo hapa. Beti sasa.
SAUDIA LEAGUE nayo kuna mechi za pesa kabisa ambapo Al Akhdoud atakipiga dhidi ya Al Khoolod ambapo tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni 7 huku mwenyeji akitaka kuendeleza ushindi wake baada ya kushinda mechi ya mwisho walipokutana. Je pesa yako unaiweka kwa nani kati ya hawa wawili?. Tengeneza mkwanja hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Al Fateh dhidi ya Al Riyadh ambao kwenye mechi 12 ambazo wamecheza hadi sasa wamefanikiwa kukusanya pointi 8 huku wenyeji wao wakikusanya pointi 14 hadi sasa. Nafasi ya kushinda mamilioni unayo kwenye mechi hii. Ingia na ubashiri hapa.
Al Ittihad yeye atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Damac ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanakwambia ushindi unaanzai kwa kubashiri mechi hii leo. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa kwani kuna machaguo uyapendayo.



No comments:
Post a Comment