JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BENKI YA MKOMBOZI YAFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA

Share This

Mkutano Huo ukiwa ni mkutano wa 16 wa wanahisa umefanyika jana Julai 26, 2025 katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam ambao ulihudhuriwa na wanahisa kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania, pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya OFM Cap










No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad