JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS DKT SAMIA ALIVYOMPOKEA NA KUZUNGUMZA NA MGENI WAKE RAIS WA MSUMBIJI IKULU LEO JIJINI DAR

Share This




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.





Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad