jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

TCCIA YAFANYA KIKAO KAZI KUHUSIANA NA KUANZISHWA KWA OFISI ZA ICC TANZANIA

Share This
Makamu katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu,Bw. Julian Kassum akizungumza na ujumbe wa TCCIA, ukiongozwa na Rais Bw. Vicent Minja, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, pamoja na Meneja Wanachama Bw. Kelvin Ogodo wakati wa kikao kazi kuhusiana na kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, utakaofanyika  Nairobi nchini kenya.
002
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya MeLT Group,Mohammed Dewj akisalimiana na Ujumbe wa TCCIA, Ukiongozwa na Rais Bw. Vicent Minja, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, pamoja na Meneja Wanachama Bw. Kelvin Ogodo wakati wa kikao kazi kuhusiana na kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara,Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
003
Kutoka kushoto: Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, Bi. Patricia Nzolantina, Mjumbe wa kamati kuu ICC, Bw. Julian Kassum, Makamu katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu na Rais wa TCCIA Bw. Vicent Minja, wakiwa kwenye picha yapqmoja baada ya kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
004

Makamu Katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu Bw. Julian Kassum, wakiagana na Rais wa TCCIA, Bw. Vicent Minja, baada ya kikao kazi kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, Utakaofanyika Nairobi Nchini Kenya wiki hii, wengine ni Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, Bi. Patricia Nzolantina, Mjumbe wa kamati kuu ICC.
005
006
Makamu Katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu Bw. Julian Kassum, akimwonyesha Rais wa TCCIA, Bw. Vicent Minja, Tovuti ya ICC jinsi inavyofanyakazi baada ya kikao kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara,Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad