Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea salamu ya heshima ya kijeshi mara baada ya kuwasili katika Bunge la Angola Jijini Luanda tarehe 08 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kiserikali nchini humo tarehe 08 Aprili, 2025.
Matukio mbalimbali mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Bunge la Angola Jijini Luanda tarehe 08 Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment