JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Rais Dkt. Samia afuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Share This

 









Watoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.





 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapakulia Iftar watoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad