KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Bi. Mary Sulle, alipofika kuwapatia pole na kuwafariji Alhamis tarehe 20 Machi 2025. Bi Sulle aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 18 Machi 2025, anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa 21 Machi 2025, nyumbani kwao Karatu.
Post Top Ad

BALOZI DKT. NCHIMBI AFIKA NYUMBANI KWA FAMILIA YA MAREHEMU MARY SULLE KUWAPA POLE
Share This
Tags
# HABARI
Share This
Jiachie Blog
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
Newer Article
BALOZI NCHIMBI: MALEZI YA WALIMU NI MUHIMU KATIKA UJENZI WA TAIFA IMARA
Older Article
Benki ya Stanbic Tanzania yafuturisha wateja wake
Benki ya Absa Tanzania Washirikiana na Hindsight Ventures Kuhamasisha Ubunifu wa FinTech na Biashara Changa Kupitia "Wazo Challenge"
Ahmad MichuziMar 22, 2025Benki ya Stanbic kubadili mwelekeo wa mustakabali wa malipo ya kidijitali
Ahmad MichuziMar 22, 2025BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA HAWASSI
Othman MichuziMar 22, 2025
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment