RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya MIOT kutoka Nchini India Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment