Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi Nchimbi alipata nafasi ya kupokea taarifa ya utendaji wa kazi wa Chama kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora, Ndugu Wilson Nkhambaku na taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paulo Matiko Chacha, leo tarehe 19 Disemba 2024.
Post Top Ad
BALOZI DKT. NCHIMBI AWASILI MKOANI TABORA KWAAJILI YA ZIARA YA SIKU MBILI
Share This
Tags
# HABARI
Share This
Jiachie Blog
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
Newer Article
CASINO STUD POKER ULIMWENGU WA KARATA!
Older Article
Serikali yahimiza ubia kwenye miradi yenye mvuto kibiashara
ISSA GAVU ATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBALI - UNGUJA
Ahmad MichuziDec 26, 2024TUME YATOA NENO KWA WAANDISHI WASAIDI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR MBEYA
MICHUZI BLOGDec 25, 2024Bodi ya michezo ya kubahatisha (GBT) yazindua kampeni Fichua, Tukomeshe Mashine Haramu za Dubwi, kamata kamata kufanyika nchi nzima
Ahmad MichuziDec 24, 2024
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment