Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imetoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, aliyekuwa waziri wa ulinzi Yoav Gallant pamoja na kiongozi wa Hamas Ibrahim Al-Masri kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu katika mzozo wa Gaza uliosababisha vita kuanzia Oktoba 8, 2023 mpaka Mei 20, 2024.
Kwa mujibu wa Reuters uamuzi wa majaji wa ICC umeeleza kuna sababu za kuridhisha za kuamini kuwa Netanyahu na Yoav Gallant walihusika na vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na mauaji, mateso na njaa kama silaha ya vita na sehemu ya mashambulizi makubwa na ya kimfumo dhidi ya raia wa Gaza.
Post Top Ad
Tags
# HABARI
Share This
Jiachie Blog
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
Older Article
JENERALI MSTAAFU WAITARA AONGOZANA NA KAMISHNA WA TANAPA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA WA AJALI YA GHOROFA KARIAKOO
BALOZI NCHIMBI AWASILI MZUMBE MOROGORO
Ahmad MichuziNov 23, 2024SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ITA
Othman MichuziNov 23, 2024Serikali yaweka mikakati ya suluhu ya wezi katika mitandao
Othman MichuziNov 22, 2024
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment