JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Waziri wa Kilimo Atembelea Shamba la Kuzalisha Mbegu za Shayir

Share This

 

 Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ametembelea shamba la kuzalisha mbegu za shayiri la kampuni ya Silverland Ndolela Limited, tarehe 18 Septemba 2024 lililopo mkoani Ruvuma. 

Amepitia mashine na Mifumo mbalimbali ya uzalishaji wa mbegu na kujadili namna ya kushirikiana nao, ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (Public Private Partnership - PPP), katika kujifunza na kubadilishana uzoefu wa matumizi  ya teknolojia za kilimo na umwagiliaji kama vile matumizi ya mfumo wa “pivot system” na kilimo cha kisasa  ili kuongeza tija katika uzalishaji.

Mbegu na mazao mengine yanayozalishwa na  mengine kampuni hiyo ni pamoja na mahindi, maharage, ngano na alizeti.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad