JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BUKUA KITITA LEO KUPITIA MERIDIANBET

Share This

 

IJUMAA ya leo inaweza kukupa nafasi ya kuanza mkwanja wa kutosha kupitia michezo ambayo inaenda kuchezwa leo kupitia ligi kuu ya Hispania, Ufaransa, bila kusahau ligi kuu ya Ujerumani.

Miamba mitatu leo kutoka ligi kubwa tatu itashuka dimbani kutafuta alama tatu vilabu vya Real Betis kutoka Hispania, Borussia Dortmund kutoka Ujerumani, na Lille kutoka nchini Ufaransa na michezo imepewa Odds nono pale Meridianbet.

Klabu ya Real Betis ambayo haijafanikiwa kuanza msimu vizuri mpaka sasa kunako ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, Leo watakua nyumbani kukipiga na klabu ya Leganes ambayo imepanda daraja msimu huu Betis hawafanikiwa kuanza msimu vizuri kwani mpaka sasa hawajashinda mchezo hata mmoja kwenye michezo yao mitatu ya mwisho huku Leganes wao wakishinda mchezo mmoja na kusare michezo miwili.

Ligi kuu ya Bundesliga nayo itarejea tena leo na utapigwa mchezo mmoja kabambe pale kwenye dimba la Signal Iduna Park, Ambapo Borussia Dortmund wamenyana na klabu ya Heidenheim ambao ndio vinara wa ligi hiyo wakifanikiwa kushinda michezo yote miwili ya awali hivo unatarajiwa kua mchezo mkali kwelikweli.

Ligi kuu ya Ufaransa leo itashuhudia mchezo mkali ambapo klabu ya Saint- Etienne itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Lille, Klabu ya Saint-Etienne inashika mkia kunako ligi kuu ya Ufaransa wakiwa wamepoteza michezo yao mitatu yote huku Lille wakishinda michezo miwili na kupoteza mmoja.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad