JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


PIGA MSHINDO LEO KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET

Share This

 



HUTAKIWI kupata mawazo unapata wapi pesa wikiendi hii kwakua mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wako kuhakikisha wikiendi yako inakua ya kibabe, Kwani kupitia michezo ambayo inakwenda kupigwa imepewa Odds za kutosha.

Hakuna maelekezo mengine zaidi ya kufanya machaguzi yako kwa timu unazoamini zitakupatia kitita leo, Kwani ligi zote kubwa ulaya zimerejea leo kuanzia pale ligi pendwa nchini Uingereza, Hispania, Italia, Ufaransa, na Ujerumani.

EPL
Arsenal mapea kabisa atakipiga dhidi ya Brighton, West Ham wao watakua nyumbani kuikaribisha Manchester City, Brentford Vs Southampton, Leicester City watakipiga dhidi ya Aston Villa pale katika dimba la King Power.

LA LIGA
Vinara wa soka ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watakua nyumbani kuhakikisha wanaendeleza wimbi la ushindi dhidi ya Real Valladolid, Athletic Club wao watakua nyumbani kumenyana na Atletico Madrid, Huku klabu ya Valencia wakiwa nyumbani kumenyana na Villarreal kwenye dimba la Mestalla.

BUNDESLIGA
Ujerumani leo pia moto unakwenda kuwaka kweli ambapo mabingwa watetezi klabu ya Bayer Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Rb Leipzig, Weder Bremen watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Borussia Dortmund, Vfb Stuttgart watakipiga dhidi ya klabu ya Mainz.

SERIE A
Baada ya kupata ushindi mnono kwenye mchezo uliomalizika klabu ya Napoli leo itatafuta ushindi wake wa pili mfululizo dhidi ya klabu ya Parma kunako ligi ya soka nchini Italia, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Lazio dhidi ya Ac Milan ambao wametoka kupoteza mchezo wao wa mwisho waliocheza.

LIGUE 1
Ligi kuu ya soka kutoka nchini Ufaransa nayo sio haba kwani leo itakwenda kushuhudia michezo kadhaaa mikali ikipigwa katika madimba tofauti tofauti ambapo Brest watacheza dhidi ya Saint-Etienne, Toulouse watacheza dhidi ya Olympique Marseille ya kocha Roberto De Zerbi.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad