JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


CHEZA AVIATOR NA SUPER HELI KASINO USHINDE MUZIKI MNENE

Share This

 

WIKI iliyopita walipatikana washindi wa promosheni ya kibabe, na wakaondoka na zawadi zao katika awamu ya kwanza, na sasa zawadi bado zipo nyingi sana Meridianbet awamu ya pili inaendelea kuchanja mbunga na wengi wanajishindia zawadi zao.

Ili ushinde unatakiwa kucheza michezo pendwa ya kasino Aviator na Super HELI kwa dau dogo la kuanzia Tsh 100 hadi 50,000/= TZS.

Michezo hii miwili ya kasino ya mtandaoni inakupa pesa na zawadi kibao ikiwemo muziki mkubwa wenye mdundo wa Spika za JBL.

Masharti ili Kushinda.
Promosheni hii ya Aviator na Super Heli Itadumu hadi Agosti 31.

Promosheni hii ya kasino ya Mtandaoni ni halali kwa wateja waliosajiliwa pekee kwenye tovuti na programu za simu za Meridianbet.

Kushinda ni rahisi; Unapokea pointi 10 kwa kila TZS 1000 zinazochezwa kwenye Mchezo wa kasino ya Mtandaoni Aviator au Super Heli, na pointi 1 kwa kila spin inayochezwa.

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Aviator na Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 - JBL Boombox 1

Nafasi ya 2 - JBL Size ya Kati 1

Nafasi ya 3 - JBL Headset 1

Kwenye michezo hii ya kasino ya mtandaoni kadri inavyozidi kwenda umbali mrefu ndio unavyozidi kujipatia ushindi kwani Helikopta hii, inavyoruka inakuwa inahesabu odds na idadi ya odds ulizopata kabla ya ndege kuanguka na kusitisha safari, zitazidishwa kwa dau uliloweka kwa ajili ya mchezo huo wa kasino ya mtandaoni.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad