NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
SHIRIKA la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) limeendelea kuhakikisha linawassaidia wananchi na wajasiriamali kuanzisha, kuendeleza na kuimarisha misingi ya ubunifu kwa lengo la kuongeza fursa za ajira.
Akizungumza Julai 5,2024Jijini Dar es salaam kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya kimataifa Sabasaba, Mkurugenzi Mkuu SIDO, Silvester Mpanduji amesema kupitia huduma wanazozitoa kuna wajasiriamali ambao wamefaidika kwa kupata mikopo ambayo imesawadia kuanzisha viwanda vyao.
Aidha Mpanduji amesema katika Maonesho hayo wameingia na teknolojia ya majiko ya nishati safi ya kupikia ambapo kwa watu watakaotembelea banda lao watapata nafasi ya kununua kwa ajili ya matumizi yao.
Mpanduji ameeleza kuwa changamoto ya kubangua korosho moja moja sasa suluhisho lake llimepatikana kwa kuundwa mtambo wa teknolojia ya kisasa ambao wanavikundi au mtu mmoja mmoja akitumia itasaidia kuchochea ongezeko la viwanda vidogo.
Post Top Ad
SIDO YAENDELEA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI KUJIKITA KUANZISHA VIWANDA VIDOGO
Share This
Tags
# HABARI
Share This
Jiachie Blog
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
Newer Article
TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO SABASABA 2024
Older Article
EWURA YAENDELEA KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI SABASABA
TEF YAMPONGEZA WAZIRI KUUNDA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI
Othman MichuziNov 22, 2024ICC Yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu, Gallant na Al-Masri kwa Uhalifu wa Kivita Gaza
Ahmad MichuziNov 21, 2024JENERALI MSTAAFU WAITARA AONGOZANA NA KAMISHNA WA TANAPA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA WA AJALI YA GHOROFA KARIAKOO
Ahmad MichuziNov 21, 2024
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment