JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

RAIS DKT. MWINYI ATEMBELEA BANDA LA TTCL MAONESHO YA SABASABA

Share This

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo leo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yaliyofungwa rasmi leo na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Bi Latifa M. Khamis.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo leo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yaliyofungwa rasmi leo na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad