JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MERIDIANBET YAUINUA MTAA TENA

Share This

 




MERIDIANBET YAUINUA MTAA TENA


HAWAJAWAHI kua nyuma kwenye jambo lolote linalohusu jamii kwa mara nyingine leo wanarudisha kwa jamii yao kwa kuhakikisha wanatoa msaada kwenye moja ya maeneo muhimu katika jamii.

Kama inayoeleweka vituo vya afya ni moja ya maeneo nyeti sana katika jamii zetu na Meridianbet leo wamefanikiwa kufika katika eneo la Kawe jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada katika moja ya Zahanati zinazopatikana eneo hilo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kutoa mashuka zaidi ya 70 kwenye Zahanati hiyo, Mashuka ambayo yatatumika kwenye vitanda vya Zahanati hiyo ambapo yatakua msaada mkubwa kwani mashuka ni moja ya vifaa muhimu mahospitalini.

Bashiri mchezo wa Fainali ya michuano ya Euro 2024 unaotarajiwa kupigwa kesho kati ya timu ya taifa ya Hispania dhidi ya Uingereza ambao umepewa ODDS BOMBA sana. Bashiri sasa.

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alikua muwakilishi wa taasisi alipata nafasi ya kuzungumza wakati wa ugawaji wa mashuka “Nipende kuwashukuru uongozi wa Zahanati hii kwa kutopokea mahali hapa lakini kubwa kutupatia ushirikiano katika kuhakikisha tunakamilisha jambo letu tulilolikusudia”

Shukrani hazikuishia hapo tu kwani Mwenyekiti wa eneo hilo anayefahamika kama Bi Aisha nae alipata wasaa wa kushukuru kutokana na kile kilichofanywa na Meridianbet, Huku akitoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano mzuri kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad