JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BALOZI MAVULA AFANYA KIKAO NA MWENYEKITI WA MOM PAMOJA NA WASANII TANZANIA

Share This
Mapema leo, mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao (MOM) akiongoza wasanii wa Filamu Tanzania kwenye kikao rasmi na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini, Mheshimiwa Balozi Togolani Mavura jijini Seoul, Korea ya Kusini.

Wasanii hao wapo katika ziara ya siku kadhaa ya kujifunza mambo mbalimbali ya Filamu .Huu ni muendelezo wa ziara iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani mapema mwezi huu alipotembelea nchi hiyo.








No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad