JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA FRELIMO NCHINI MSUMBIJI

Share This

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad