Mkuu wa Uelimishaji Umma kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Ilala Bi. Nerry Mwakyusa akizungumza wakati WA Semina ya kupambana na rushwa mahali pa kazi kwa watumishi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es salaam. KAIMU Naibu Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam, Dkt. Coretha Komba aliwakumbusha watumishi wa Chuo noKikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es salaam kufanya kazi kwa kuzingatia uadilifu na uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao kama watumishi wa umma ili kuepuka kuingia katika vitendo vya rushwa.
.jpeg)
No comments:
Post a Comment