Mshindi wa promosheni
ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Thomas samson (kushoto) mkazi wa Bunju
jijini Dar es salaam akipokea mfano wa
hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Ana tunu kher afisa mauzo wa Serengerti
Breweries Limited (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika
kwenye baa ya QX Bar Bunjuju jijini Dar es Salaam..
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni
mkazi wa Mlandizi kibaha Mkoani Pwani Shafiki Balyagati akipokea mfano wa hundi
ya Shilingi laki tano kutoka kwa Meneja Mauzo wa Breweries kanda ya Mlandizi,
Pwani Japhet Mwalisu (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi
iliyofanyika kwenye baa ya la vica.
Mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo Abedi Juma(kulia)
akipokea hundi ya shilingi laki tano
kutoka kwa Afisa Mauzo wa SBL wilaya ya Masasi mkoani Mtwara Leonard Brainer
wikiendi hii.
Afisa Masoko kutoka kutoka Kampuni ya Bia ya
Serengeti Breweries Limited kupitia promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo
akimkabidhi mfano wa Hundi ya shilingi laki tano Julieth Almacus Mkazi wa
Manispaa ya Musoma mkoani Mara kwa kuibuka kupitia bia ya Smirnoff Ice. hafla
iliyofanyika katika ukumbi wa Chacha Novemba 25, 2023
Mshindi wa promosheni ya Maokoto Ndani ya Kizibo Leonard Malisa(kulia) mkazi wa Singida akipokea hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mwanahamisi Juma, afisa masoko wa kampuni nya bia ya serengeti wikiendi hii wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi zawadi mshindi huyo iliyofanyika mkoani Singida.
No comments:
Post a Comment