JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


NAIBU WAZIRI WA KILIMO SILINDE AFANYA ZIARA KAMPUNI YA SERENGETI BREWERIES

Share This

Naibu Waziri wa Kilimo mhe.David Silinde (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini Mkurugenzi wa mahusiano ya Kampuni wa Serengeti Breweries Limited John Wanyancha (wapili kulia) wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa kilimo katika makao makuu ya kampuni ya Serengeti Breweries. 

Mazungumzo yalilenga njia za kusaidia wakulima wa ndani na fursa za kukuza sekta ya kilimo kwa lengo la kupata malighafi za ndani kwa bei na ubora unaofaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad