JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


WAKUU WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MANUNUZI BIDHAA ZA AFYA NCHI ZA SADC WAKUTANA JIJINI DAR

Share This

 


Wakuu wa Taasisi zinazosimamia Manunuzi ya Bidhaa za Afya kwa nchi za SADC wamekutana leo jijini Dar es Salaam, kujadiliana na kuweka mikakati ya pamoja ya kuboresha mpango wa manunuzi ya pamoja ya bidhaa za afya kwa nchi za ukanda wa Kusini mwa Africa-SADC (SPPS).

Washiriki hao pamoja na mambo mengine watajadili namna bora ya kutekeleza mpango wa manunuzi ya pamoja ili kuweza kutekeleza mpango huo kwa ufanisi zaidi na kujadili mapendekezo yaliyotolewa na mshauri mwelekezi.













 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad