JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Wakuu wa Taasisi watembelea banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

Share This


Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus shombe  akipata maelezo kutoka Mkuu wa kitengo cha uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi  wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye  akiwa katika picha ya pamoja  na wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad