JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


JKT yawa Kinara Katika Maonesho ya Sabasaba

Share This


Baadhi ya matukio ya Tunzo na Vyeti kwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) mara baada ya kuibuka washindi mara mbili kwenye maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam yaliyofikia kilele Julai 13 , 2023  katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar  Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza  katika ubunifu wa samani za majumbani Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya maonesho ya sabasaba JKT  Kanali Shija Lupi wakati wa ufungaji kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya maonesho ya sabasaba JKT Kanali Shija Lupi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tunzo za kuwa washindi mara mbili kwenye kilele  cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar  Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tunzo ya mshindi wa kwanza  katika Uvuvi na Ufugaji Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya maonesho ya sabasaba JKT  Kanali Shija Lupi wakati wa ufungaji kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na  Mke wake  Bi. Mariam wakiwa wamekaa kwenye samani zilizotengenezwa na  Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati alipotembelea kwenye banda hilo katika kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo katika Banda la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya maonesho ya sabasaba  Kanali Shija Lupi wakati alipotembelea kwenye banda hilo katika kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad