JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


BRELA Yang'ara Maanesho Sabasaba

Share This

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi,  akimkabidhi kijana leseni ya biashara iliyotolewa na  BRELA   alipotembelea  banda la kwenye Maonesho ya 47 Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar uuhu Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tunzo ya mshindi wa kwanza  katika ubunifu katika biashara Mwakilishi wa Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Andrew Mkapa  wakati wa ufungaji kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi,  akipata maelezo ya namna Mfumo wa usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) inavyofanya kazi. Maelezo hayo aliyapata kutoka kwa Bw. Andrew Mkapa, aliyemwakilisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili na Biashara Leseni (BRELA) alipotembelea  banda la BRELA kwenye Maonesho ya 47 Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam leo tarehe 13 Julai, 2023 alipofunga maonesho hayo.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi,  akipata maelezo ya namna Mfumo wa usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) haupo pichani  unavyofanya kazi. Maelezo hayo aliyapata kutoka kwa Bw. Andrew Mkapa, aliyemwakilisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili na Biashara Leseni (BRELA) alipotembelea  banda la BRELA kwenye Maonesho ya 47 Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam leo tarehe 13 Julai, 2023 alipofunga maonesho hayo.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi Bi Maria akipokea mfuko  kutoka Mwakilishi wa Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Andrew Mkapa wakati walipotembelea banda la BRELA  kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad