Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Albert Chalamila akisalimiana na Mwadhama Cardinal Polycarp Pengo Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakati wa Misa Takatifu Ya Kipaimara illiyofanyika katika Porokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay Jijini Dare s Salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akutana na Mwadhama Polycarp Pengo
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
No comments:
Post a Comment