JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


AYANFE KUITIKISHA AFRIKA MASHARIKI

Share This

 

SIO tu kutumia lugha ya Kiswahili na ki-Yoruba kwenye ngoma yake ya’LabaLaba’ inayomaanisha Kipepeo, ngoma ambayo inamahadhi ya Amapiano, aliyomeshirikiasha na DJ Latitude na Iam Beatz. 

Ayanfe anatarajia kufanya mapinduzi makubwa ya muziki kwa kufanya tour ukanda huu wa Afrika Mashariki ikijumuisha nchi kama Tanzania, Kenya na Uganda.

Ayanfe ambaye hivi karibuni alisaini mkataba wa kurekodi na ALPHA NATION anatarajiwa pia kutoa EP. Na tayari ameshafanya kazi na wasanii wa kubwa kutoka Nigeria hasa kutoka lebo ya DMW ya Davido ambapo miaka miwili iliyopita alifanya kazi na Mayorkun iitwayo WHAT’S GOIN ON na mwaka 2022 akaachia ngoma na Davido iitwayo MIGRATE

Hivyo tarajia pia kupata kolabo za utafauti kwa Ayanfe ambaye hatoufunga mwaka 2023 bila kukupatia kolabo safi kwa wasanii wako pendwa wa Afria Mashariiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad