Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa elimu nje ya nchi Global Education Link (GEL) Abdulmalik Mollel, akizungumza kabla ya kusaini makubaliano na TIA kuhusu kutafuta fursa nje ya nchi.Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa elimu nje ya nchi Global Education Link (GEL) Abdulmalik Mollel, Kushoto akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Profesa William Pallangyo (kulia) mara baada ya kusaini mkataba jana kwenye ofisi za GEL Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment