JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR NCHINI TANZANIA

Share This


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Oktoba, 2022 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid tukio lililofanyika katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Oktoba, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 19 Oktoba, 2022

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad