JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MATUKIO BUNGENI

Share This

 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga Kura kuchagua `Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,  Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
aziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi Denis Lazaro, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad