JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA WAFADHI WA UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA MOYO ZANZIBAR

Share This

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wafadhili kutoka Uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend cha Nchini Norway ukiongozwa na Mfadhili Bw.Trond Mohn (kulia kwa Rais)  wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 15-6-2022, kuelezea ufadhili wao wa Ujenzi wa Kituo cha Matibabu ya Moyo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wafadhili kutoka Chuo Kikuu cha Hauklend kutoka Nchini Norway Bw.Trond Mohn, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-6-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad