Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Francis Michael (kulia) akisisitiza kwa Msanii wa Filamu kutoka nchini Nigeria, Jim lyke (katikati) kutangaza vivutio vya Tanzania kupitia filamu wakati wa kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Wonderland Africa, Said Rukemo. KATIBU Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Francis Michael amekutana na kufanya mazungumzo na Msanii Nguli wa Filamu kutoka nchini Nigeria, James Ikechukwu maarufu kama Jim lyke na kukubaliana kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania kupitia filamu.

No comments:
Post a Comment