Na.Khadija Seif, Michuzi TV
MWANAMITINDO nchini Hamisa Mobetto ameingia Mkataba na Kampuni ya ubashiri (PM BET) nchini na amekua Balozi wa pili, wa kwanza akiwa Msanii Rayvan kutokea wasafi.
Akizungumza na Michuzi TV Mobetto amesema anashukuru uongozi wa Kampuni hiyo Kwa kumchagua na kuona ni mtu mwingine sahihi wa kuitangaza Kampuni na kushirikiana na balozi mwenza katika kuhakikisha wanafanya kazi zao.
"Nitashirikiana na Rayvan kuhakikisha tunaandaa wimbo na kazi nyingine ambazo Kampuni itahitaji tufanye Kwa ajili ya kuitangaza zaidi."
Hata hivyo Mobetto ametambulisha ramsi Kampeni ya "Shinda na Mobetto" ambayo italenga zaidi wanawake na kuhakikisha katika ubashiri wao wanashinda.
Pia Mobeto ameweka bayana kuwa anapendelea sana kuwa Mfanyabiashara na anafurahia zaidi kazi hiyo kuliko kuimba na kazi ya Mitindo.
PATAMU MOBETTO RAYVAN SAHANI MOJA
Share This
Tags
# BURUDANI
Share This
Jiachie Blog
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.



No comments:
Post a Comment