JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


WAZIRI MULAMULA AKUTANA NA KONSELI WAKUU GUANGZHOU, LUBUMBASHI

Share This

 #Diplomasia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga na Bw. Selestine Kakele katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) akizungumza na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga (aliye vaa suti ya kijivu) na Bw. Selestine Kakele (mwenye kaunda suti ya bluu) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (MB) katika picha ya pamoja na Konseli Wakuu wa Tanzania katika Miji ya Guangzhou na Lubumbashi Bw. Khatibu Makenga na Bw. Selestine Kakele.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad