Tengeneza Tiketi Yako Ya Ushindi Kupitia Meridianbet!
MASHINDANO ya AFCON yanaendelea kushika kasi
viwanjani. Kule barani Ulaya, EPL na
Serie A nako mambo ni moto. Wikiendi
hii, mchongo wa Odds Bora upo hivi;
Ijumaa hii, Gabon watachuana na Ghana
katika mchezo wa pili hatua ya makundi kunako AFCON. Huku
Pierre-Emerick Aubameyang, kule ni Saidio Mane. Mdhamini shujaa wako kwa Odds ya 2.12 kwa Ghana ndani ya
Meridianbet.
Jumamosi, Etihad
Stadium kusimamia burudani ya Manchester City vs Chelsea.
Huu ni mchezo wa kwanza wikiendi hii, mchana kweupe Pep atakuwa akichuana na
Tuchel. Safari ya kuwania ubingwa wa EPL inaendelea! Nani ni nani? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.71
kwa City.
Jumapili
tunahamia kwenye London Derby. Tottenham Hot Spurs uso kwa uso dhidi
ya Arsenal. Mikel Arteta yupo kwenye moto mkali,
vijana wake wanaupiga mwingi! Spurs nao, Conte amebadilisha morali ya timu,
wanapambana kwa kila sekunde uwanjani. Derby ya wikiendi hii ni mchongo, ifuate Odds ya 2.40 kwa Spurs.
Kwenye Serie
A, Atalanta watawaalika Inter Milan.
Kule Italia napo mambo yanataradadi, mtanange wa kutetea ubingwa kwa Inter
sambamba na kuwania nafasi 4 za juu, unashika kasi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30
kwa Inter.
Jumatatu ni
muendelezo wa AFCON, Burkina Faso vs Ethiopia.
Hakika, Ethiopia wanataabika, wameshapoteza michezo miwili ya mwanzo, huu
watatu watatokaje? Burkina Faso walipoteza mmoja na kushinda mmoja, hapa vipi?
Kupitia Meridianbet, Ifuate Odds ya 1.68 kwa
Burkina Faso.
Meridianbet - Bashiri Popote, Wakati Wowote.


No comments:
Post a Comment