Juventus uso kwa uso na Atalanta katika
muendelezo wa Serie A. Timu zote
mbili zinaendelea kujiboresha zaidi kwenye muenendo wa Ligi. Wakitoka kwenye
Ligi ya Mabingwa, Juve amepoteza dhidi ya Chelsea huku Atalanta akilazimisha
sare na Young Boys. Dakika 90 zitatoa matokeo gani wikiendi hii kwenye Serie A?
Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.20 kwa
Juventus.
Kwenye LaLiga, Xavi Hernandez kuiongoza FC Barcelona
kuwafuata The Yellow Submarines – Villarreal wakiwa chini ya Unai Emery. Barca
wametoka kushinda mchezo wao dhidi ya Espanyol kwenye Ligi lakini kule kwenye
UEFA, kazi ni nzito maradufu. Vivyo hivyo, Villarreal wanatapatapa kupata
matokeo kwenye LaLiga msimu huu na UEFA wameambulia kichapo dhidi ya Man United
katikati ya wiki. Yote 9, 10 ni dakika 90 uwanjani. Ifuate Odds ya 2.55 kwa Barcelona ndani ya
Meridianbet.
Ni Super Sunday ndani ya EPL wikiendi hii. Chelsea kuwaalika Manchester United katika
wiki ya 13 ya Ligi Soka nchini Uingereza. The Blues wapo kwenye kiwango kizuri
na kikubwa wakilinganishwa na The Red Devils ambao hali si shwari. Michael Carrick ataitoaje United pale
Stamford Bridge? Thomas Tuchel akiwa
na majeruhi kwa baadhi ya wachezaji wake tegemezi, atapata chochote kwenye
mchezo huu? Mchongo upo Meridianbet, ifuate Odds ya 1.57
kwa Chelsea.
Pale Santiago Bernabeu, Real Madrid watawaalika Sevilla katika
mtanange wa kukata na shoka kwenye LaLiga Sentander. Timu
zote zinananafasi ya kupata matokeo kwenye mchezo huu lakini, nani atafanikiwa
kumzidi mwingine mbinu na uwezo uwanjani? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.69 kwa
Madrid.
Usiwachukulie poa, Derby County
wanajambo lao. Wayne Rooney kuingoza Derby vs QPR. Ikumbukwe, Derby ametoka kuchuana na
vigogo wa ligi hiyo – amewafunga Bournemouth na kutoka sare na Fulham. Jumatatu
hii, Meridianbet tunaweza kukupa faida mapema
kabisa mwanzoni mwa wiki. Ifuate Odds ya 2.38 kwa QPR.
Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Kubwa na Bonasi Kubwa!
No comments:
Post a Comment