Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) kuwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo
tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) kuwa Waziri wa Fedha
na Mipango katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa
Palamagamba Kabudi (Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) wakila
Kiapo cha Uadilifu kwa viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa
Mawaziri na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia hotuba za
viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Mheshimiwa
Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) pamoja na Mawaziri wawili katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri wa Fedha
pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment