![]() |
Rais wa shirikisho la vyama huru vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Vyamhokya katikati akiongoza kuimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa kikao na waandishi wa habari mkoa wa Iringa kuelezea maandalizi ya Mei Mosi kitaifa yatakayofanyika mkoani Iringa |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kulia akiwapongeza viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi |
![]() |
Wajumbe wa TUCTA wakiimba wimbo wa wafanyakazi leo |
![]() |
Wimbo wa kuwaunganisha wafanyakazi |
No comments:
Post a Comment