Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza wakati wa
ufunguzi wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji
Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa unaofanyika katika
ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Tixon Nzunda akizungumza wakati wa ufunguzi
wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka
kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa unaofanyika katika ukumbi wa
Hazina leo Mkoani Dodoma.
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John
Mongela wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa na Taasisi ya
Uongozi Institute wanaoendesha warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma
za umma na utoaji Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
inayofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu-TAMISEMI Dk Zainabu Chaula(kushoto mwenye miwani) pamoja
na washiriki wengine wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma
na utoaji Madaraka kwa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo(hayupo pichani) leo mkoani Dodoma.








No comments:
Post a Comment