BENKI ya CRDB tawi la Mlimani City kutoa mikopo kwa siku saba kwa wateja ambao ni wafanyabiashara wa kati (Small Medium Interpreses) ambao wataenda kukopa katika benki hiyo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen jijini Dar es Salaam leo wakati wa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba.
Amesema kuwa wiki hii ya huduma kwa wateja ni ya kukata keki na kufungua shampeini kwa wateja wa benki ya CRDB karibu kila tawi nchini kote kwaajili ya kuwashukuru wateja wake.
Pia amewashukuru wafanyakazi wa Tawi lake kwa kufanya kazi kwa juhudi kama kuwajali pamoja na kuwapa zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Vyeti vya shukrani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akizungumza na wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam leo wakati alipotembelea katika tawi hilo kwaajili ya kudhimisha wiki ya Huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya Kwanza ya Oktaba kila mwaka. kushoto ni Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilango.
Mteja wa Muda mrefu, FaustaAssenga akikata keki kwaajili ya kushaherekea wiki ya huduma kwa wateja akishuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay pamoja na Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilango na wateja wa benki hiyo Tawi la CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay jijini Dar es Salaam leo akimlisha keki Mteja wa Muda mrefu wa Tawila CRDB tawi la Mlimani City, Fausta Assenga ikiwa ni kwaajili ya kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wki ya kwanza ya mwezi Oktaba kila mwaka.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akiwalisha wateja keki wateja ambao ni wakuduma na wamuda mrefu wa Benki ya CRDB tawi la Mlimanicty jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akimlisha keki Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilango jijini Dar es Salaam leo kwaajili ya kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.
Wateja wakifungua Shampeini kwaajili ya kushherekea wiki ya huduma kwa wateja leo katika benki ya CRDB tawi la Mlimani City.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akiwakabidh vyeti vya shukrani wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay na Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Kilangowakiwa katika picha ya pamoja na wateja wa muda mrefu wa Benki ya CRDB tawi la Mlima city.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay na Mkurugenzi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijni Dar es Salaam leo wakati wa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment