jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

STANDS UP COMEDY YA STEVE NYERERE YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM.

Share This
Mchekeshaji Steve Nyerere akicheza muziki na msanii Dokii katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
IMG_1475
Wageni waalikwa walioweza kufika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
IMG_1295
Vijana wakitoa burudani.
IMG_1439
Mchekeshaji Steve Nyerere akitoa burudani katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria. Steve Nyerere amepanga kufanya onyesho la kuchekesha mara moja kwa kila mwezi ambapo mwezi ujao anatarajia kufanya onyesho hilo.
IMG_1414
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Happi aalikuwa ni mmoja ya wageni waalikwa.
IMG_1517
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alikuwa ni miongoni mwa wageni waliofika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
IMG_1441
IMG_1443
IMG_1338
IMG_1342
IMG_1375+copy
Bendi ya ngoma za asili ijulikanayo kwa jina la 'Mango Star' ikitumbuzia katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
IMG_1393
IMG_1397+copy
IMG_1400+copy
Wanenguaji Super Nyamwela, Mandela sura mbaya na Lilian Intanet wakionyesha umahili wao wa kucheza.
IMG_1425
Mchekeshaji Steve Nyerere (katikati) akionyesha umahili wame wa kuimba katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria. Steve Nyerere amepanga kufanya onyesho la kuchekesha mara moja kwa kila mwezi ambapo mwezi ujao anatarajia kufanya onyesho hilo.
IMG_1434
IMG_1476
IMG_1477
IMG_1481
Wageni waalikwa wakifuatilia burudani.
IMG_1494
Muonekano wa ukumbi.
IMG_1504
Mchekeshaji Steve Nyerere akimtambulisha mchekeshaji mwenzake Michelle.
IMG_1513
IMG_1527
IMG_1539 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Happi akisalimiana na wageni waliofika katika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
IMG_1542
Wasanii nao walibadilishana mawili matatu.
IMG_1546
Wadau wakubwa wa Kajunason Blog nao walikuwepo...
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad