jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

SHIRIKA LA ENGENDER HEALTH WAMKARIBISHA RAIS WAO HAPA NCHINI ALIPOTEMBELEA.

Share This
 Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya pamoja na wadau wa elimu katika hafla fupi ya kumkaribisha hapa nchini.DSC_4862
Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya na wadau wa Elimu  kuhusiana na Uzazi wa Mpango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kumkaribisha hapa nchini.
DSC_0100
Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la EngenderHealth, Feddy Mwanga akizungumza na wadau wa Afya na elimu wakati wa kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller jijini Dar es Salaam.
DSC_0089
DSC_4745
 Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya pamoja na wadau wa elimu katika hafla fupi ya kumkaribisha hapa nchini.
DSC_4754
 Mkurugenzi Mkazi wa shirika la EngenderHealth hapa nchini, Richard Killian akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa afya na elimu katika hafla ya Kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller hapa nchini.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad