jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

ABDALLAH SAAD ATOA GARI LA KUBEBEA WAGONJWA KATIKA ZAHANATI YA MIHUGA.

Share This

Bwana Abdallah Saad (aliyesimama) aliyetoa Gari hilo akizungumza baada ya kutoa gari na jinsi alivyopokelewa kijiji hapo na mashirikiano mazuri waliyonayo na wanakijiji na kwa nini amechangia gari hilo.b698266e-45de-45b1-8adb-797a79a4be7e
Mbunge Kikwete akionyesha funguo baada ya makabidhiano na akiwa mwekezaji Bwana Abdallah Saad aliyetoa gari hilo.
2bdfbdd5-ed62-451d-9006-1c76f71647ac
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akiwasha gari kama ishara ya kuonyesha umadhubuti wa gari lililotolewa na Bwana Abdallah Saad kwa ajili ya Zahanati ya kijiji cha Mihuga.
5eb6d84d-d2a3-447b-a683-6eeb66187e17
Mjumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo, Ndg. Mkang'ata akitoa neno la shukrani kwa niaba ya chama cha Mapinduzi.
7f7274e7-817f-418a-95b9-ac3725555e51
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani kikwete akiwa na Daktari wa Zahanati ya kijiji cha Mihuga wa kwanza kushoto wa tatu kutoka kushoto ni Diwani wa kata ya Miono Ndg. Juma Mpwimbwi na wa kwanza Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Alhaj Majid Mwanga.
b2e937f2-2351-4fda-bb28-73fdb8a449ad
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani wa pili kutoka kushoto akiwa na baadhi ya viongozi walioshiriki makabidhiano ya gari la wagonjwa katika zahanati ya Kijiji cha Mihuga.
1f1e005e-53a9-4416-9e98-eba5b90d74ae

Mbunge Ridhiwani Kikwete aliyesimama akitoa shukrani zake kwa Bwana Abdallah Saad aliyetoa gari hilo.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad