jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

WAZIRI MKUU AIPONGEZA VODACOM TANZANIA KWA KUTOA MSAADA WA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 100 KWA AJILI YA WAHANGA WA TETEMEKO KAGERA

Share This
Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akikapokea  mfano wa hundi yenyethamani ya shilingi  milioni 100/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu leo Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam.Katikati ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia
003.HUNDI
 Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akiwa kwenyepicha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia)  mara baada ya kukabidhiwa  mfano wa hundi yenye thamani shilingi milioni 100= ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu leo Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
004.HUNDI
 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao ( wa pili kulia)  akizungumza na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim  Majaliwa ( kushoto) kwenye hafla ya  Kumkabidhi msaada wa shilingi  Milioni 100/= kwa ajiliya kusaidia wahanaga wa  tetemeko la ardhi liliotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu leo Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
DSC_0825
Waziri Mkuu Khassim Majaliwa (katikati) akimshukuru Mkurugenzi wa  Vodacom Tanzania,Ian Ferrao mara baada ya kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 100/= ikiwa ni msaada  kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya wahanga wa  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu leo Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad