Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo (katikati) wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment